shule niliyosoma zamani zile tulikuwa tunapigishwa kazi yaani hatari ,Mara ukachunge ngombe, mara uwe na matuta yako ya mboga mara ubebe mbolea sasa enzi zile nilihisi kuwa ni adhabu ila umri ulivyokuja sogea nimegundua aisee hii kitu ni muhimu sana ka watoto. Hizi seminar zilitakiwe ziwe kwa watoto wadogo siyo watua wazima