SEMINA: JINSI YA KUTUMIA UJUZI ULIOKUWA NAO ILI KUJIINGIZIA KIPATO

Sir Hemedi

Senior Member
Sep 28, 2016
112
120
Habari na Karibu katika Semina ya “JINSI YA KUTUMIA UJUZI ULIOKUWA NAO ILI KUJIINGIZIA KIPATO”. Semina hii itajikita sana katika kuonyesha namna ya kutumia ujuzi uliokuwa nao ili kutengeneza kipato.

Nimeandaa semina hii kwa kuona watu wengi wanajiunga na mafunzo ninayotoa lakini ni wachache sana ambao wanayafanyia kazi mafunzo hayo. Unajua ni kwa nini?

Ipo hivi, kuwa na ujuzi fulani sio tiketi ya wewe kunufaika na ujuzi wako, ili uweze kunufaika na ujuzi uliokuwa nao ni lazima ujue namna ya kuutumia. Kivipi?

Mfano kama umejifunza Graphic Design unatakiwa kujua ni vitu gani unatakiwa kuvizingatia kabla hujaanza kuitumia ili ikuingizie kipato na hapo ndipo wengi wanapofeli.

Semina hii itakupa mwongozo wa moja kwa moja na mbinu muhimu ambazo zitakuwezesha kuanza kutengeneza kipato ndani ya mwezi tu tangu ujifunze. Huamini?

Ni kweli kabisa yaani unaweza ukajifunza Adobe Phostoshop ndani ya wiki moja, wiki ya pili ukafanya practice, wiki ya tatu kuna kitu muhimu sana utatakiwa kufanya (nitakifafanua katika seminar), na wiki ya nne kuna uwezekano mkubwa sana wa wewe kuanza kuingiza kipato kupitia uilichojifunza.

Hii ni kwa mafunzo yote ninayotoa ya ICT au hata kama una ujuzi mwingine unaweza kutumia mbinu zitakazofundishwa katika semina ili uanze kujiingizia kipato.

Semina hii itaendeshwa na MWALIMU HEMEDI kuanzia Tarehe 12, 13 na 14 (Jumatatu hadi Jumatano) Agosti/2019 kupitia kundi la WhatsApp. Nakushauri fanya kila linalowezekana usikose semina hii. Ni semina muhimu ambayo itakupa maana halisi ya jinsi ya kutumia ujuzi uliokuwa nao katika kutengeneza kipato.

Ili uweze kushiriki semina hii utatakiwa kulipia ada ya semina Tsh 10,000/= tu. Thamani ya ada hii ni ndogo sana kulinganisha na maarifa utakayoyapata kwenye semina, ila nimeweka ada hiyo ndogo ili kila mmoja apate nafasi ya kushiriki kwenye semina hii muhimu sana. Mwisho wa Kulipa ada ni Jumapili 11/8/2019 saa tatu usiku.

Ada itumwe kwa TIGOPESA 0672999266 jina ABDALLAH HEMEDI. Baada ya kutuma ada tuma ujumbe kwa WhatsApp 0672999266 ili Usajiliwe. Nakutakia maandalizi mazuri ya kupokea mafunzo katika semina. Karibu!!
 
Back
Top Bottom