sema unatakaje?

Missed u BIG time too wifi darling! Halijaharibika neno,nilikuta sweetie wako ndo anatoka nikamuachia ujumbe. Nimecheza na wapwa zangu nikajihudumia nakuondoka. Maisha ya kiswahili raha kweli.

Hasa kama mwaelewa ins and outs.... na wapi not to cross the line.... And that Wifi - najisifu we rarely kwazana labda mpaka unitegee...lol.... Raha ndo hizi dear hakuna jipya.....
 
Bado una mashaka?
Mmmhhh? naona turudi kule PM uliko nitongoza nina maswali nataka kuuliza. Mbona ni kama tuko wengi in the race? embu niangalie tena vizuri, nina ngozi nyororo na tabasam la uhakika, sitaki niwe na makovu ya ugomvi na machozi usoni...
 
Shem if you brake her heart..... Usitake kujua what i am capable of!!!!
Oh Darllng shem.........forgotten? Am a heart mender! can you say it in a sweet language?
 
Mmmhhh? naona turudi kule PM uliko nitongoza nina maswali nataka kuuliza. Mbona ni kama tuko wengi in the race? embu niangalie tena vizuri, nina ngozi nyororo na tabasam la uhakika, sitaki niwe na makovu ya ugomvi na machozi usoni...
Makovu yatatoka wapi? Mie sijui ugomvi najua kubembeleza......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…