DEVINE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 536 Reaction score 87 Mar 19, 2012 #1 Hebu vuta picha unaamka asubuhi unakumbana na hayaa; 1.Umebadilika jinsia. 2.Baada ya kubadilika unajikuta tajiri. 3.Alafu siku hiyo umetembelewa na wazazi wako kwako,au huko na mwenza wako wa ndoa au mchumba/mpenzi. Ivi utajisikiaje?
Hebu vuta picha unaamka asubuhi unakumbana na hayaa; 1.Umebadilika jinsia. 2.Baada ya kubadilika unajikuta tajiri. 3.Alafu siku hiyo umetembelewa na wazazi wako kwako,au huko na mwenza wako wa ndoa au mchumba/mpenzi. Ivi utajisikiaje?
Nish JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 730 Reaction score 114 Mar 19, 2012 #2 Network failed
Wa kusoma JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 3,454 Reaction score 2,984 Mar 19, 2012 #3 Humu JF tuna watu wa kila aina mpaka machizi waliotoroka Mirembe.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Mar 19, 2012 #4 ntajisikia mwehu!
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Mar 20, 2012 #5 You go loose control yooooooooh!!
DEVINE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 536 Reaction score 87 Mar 20, 2012 Thread starter #6 Wa kusoma said: Humu JF tuna watu wa kila aina mpaka machizi waliotoroka Mirembe. Click to expand... kumbe unajijua!
Wa kusoma said: Humu JF tuna watu wa kila aina mpaka machizi waliotoroka Mirembe. Click to expand... kumbe unajijua!
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,151 Reaction score 9,272 Mar 20, 2012 #7 Nasubiri itokee kwa sasa sina jibu ...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Mar 20, 2012 #8 Kwani ulifanyaje yalipokutokea hayo.
Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Mar 20, 2012 #9 Stil searching...
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Mar 20, 2012 #10 Unanikumbusha ile tamthilia ya 'Lalola'
WaliNazi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 851 Reaction score 96 Mar 20, 2012 #11 ..PC...imezima...
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,187 Reaction score 619 Mar 20, 2012 #12 watu wengine bwana!!!!! hasara tupu, wanapoteza pesa za intanet connection kwa mambo ya k******e