utachanganyikiwa buree
yesuuuuu wangu wewe maneno gani hayo unayoweka hapa?
ha haaaa, "kila siku sipati usingizi nakuota wewe tu".......
sasa sijui unaotaje wakati usingizi hupati!
wizi mtupu!
kwa nimpendae
Nakupenda sana
sijui kwa nini sikukufahamu mapema
lov u muchhh!
Mmmmh.......😉🙄
nini tena?
..yani you are my kila kitu...mwaaah
nini tena?
wewe wewe nna kesi na wewe.......ukiwa na nafasi ukuje mtaa wa pili
Kaizer naja..naomba daireksheni..........Na mimi pia nina kesi na wewe toka nimekukaribisha hujajua Pm ni wapi kuja mtaa wa pili....
mbona ya kawaida au hujasikiia hiki kizazi cha DotCom kilivyo na swaga nyingi wakati kinaimbisha
haaa mimi hapa.....nadhani umenisoma sasa Heaven on earth.....:smile:
Nimekusoma Kaizer senki yu vere machi(In makindas voice)
[/QUOTE]aiiii
nimekosea nini na ugeni wote huu?[
haya najaQUOTE=Heaven on earth;7410790]wewe wewe nna kesi na wewe.......ukiwa na nafasi ukuje mtaa wa pili