ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
ha haaaa, "kila siku sipati usingizi nakuota wewe tu".......ngoja leo nisiseme kitu maana namwambia kila siku a good thing about him!
ha haaaa, "kila siku sipati usingizi nakuota wewe tu".......
sasa sijui unaotaje wakati usingizi hupati!
wizi mtupu!
ha haaaa, "kila siku sipati usingizi nakuota wewe tu".......
sasa sijui unaotaje wakati usingizi hupati!
wizi mtupu!
umeona eeeh mdogo wangu?hahaaa my dada umenichekesha lol
mtu mzima unadanganywa mchana kweupee
ha haaaa, ndoto za machoni siyo mchezo.....Kwi kwi kwi kwi ya kweli hayo rafiki.... Nakuomba tu unipigie japo nisikie sauti yako kwa dakika chache tu maana hali imeshakuwa tete lol!!! Tafuta uzi wa mvaatai itakusaidia kwenye hili la kukosa usingizi huku ukiota ndoto na macho makavu bila hata lepe la usingizi 🙂🙂
what do u mean hukumfahamu mapema?kwa nimpendae
Nakupenda sana
sijui kwa nini sikukufahamu mapema
lov u muchhh!
what do u mean hukumfahamu mapema?
as uli-wish ungemfahamu mukiwa 1 year old au tayari kachukuliwa kwa hiyo umemkosa?
jamani nampenda....
You are not Perfect. But you have been perfect for me and I Love you just the way you are.
ladyfurahia huu hapa unafaa? That is how I feel right now. 🙂