Sema mwenyewe, wamefanyana nini hawa?

Sema mwenyewe, wamefanyana nini hawa?

Jamaa kambiwa kibamia hakinitoshelezi...

Doh! Na jamaa anamoyo kweli!
Maneno hayo ningeambiwa mimi, nisingeng'aang'aa sharubu hapo!
Ningekula uchochoro na kumeza kona mapema sana!
 
Ukute jamaa kaambiwa kakope iba pora ila hela utanipa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hapo ningekumbuka wimbo flan wa banana zoro;[imba kwa sauti ya kulalamika.] kama ni mapenzi honeeey basi yameisha zamanii. Teh nikaibe ili nikuridhishe wewe?? Halafu nikifungwa au nikiuawa atakuridhisha nani??
 
siku zote nimekuwa nikikuheshimu na sikutegemea hata siku moja shem kama ungediriki kuniita hapa na kunitamkia upuuzi huu, yaani siamini kwa kweli!!!
 
Ingekuwa hapa bongo basi usiku huu ange hama kama ana kaa buguruni basi ange kwenda maji matitu tena bondeni kimya
 
Hapo ningekumbuka wimbo flan wa banana zoro;[imba kwa sauti ya kulalamika.] kama ni mapenzi honeeey basi yameisha zamanii. Teh nikaibe ili nikuridhishe wewe?? Halafu nikifungwa au nikiuawa atakuridhisha nani??

Hahahahahah zigo atabeba mwengine lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom