Sema chochote kuhusu Middle East

Wote wabaguzi wa kutupwa tena waarabu ndio mara million yao wazungu.
 
Muulize yule mbunge aliyekuwa anajifanya wakala wa kuwatafutia kazi uarabuni mabinti zetu,sasa hivi mabinti zetu wamewaharibu kwa tabia zao mbaya na wengine wamedhurumiwa haki zao huko,wewe waarabu noma sana si watu hao
Ubaguzi wa mwarabu ni mauaji kama iss
 
The best places full of tourism attractions are Egypt and Israel Jordan will come third.
 
elewa mkuu. Starting point ilikuwa kwenye Azimio la Arusha - Ujamaa na Kujitegemea. Think out of the box. Kwani Israel yeye starting point yake ilikuwa nini? Bado hujajiamini, unasubiri mtu atoke nje ndo akupe maendeleo.
 
Hivi kuandika hivyo mwenyewe unajiona upo sahihi kabisa? Ndivyo ulivyofundishwa kuandika hivyo na walimu wako? Au ni ujinga wa asili?
Heri ya mimi ambae sinaga tabia ya kusahihisha watu kwenye mabandiko yao mara kwa mara, sababu najua siwezi nikayaepuka makosa ya kiuandishi mara zote. Kuna muda lazima ntakosea tu.

Sasa wewe karibia kila comment unaishadadia kukosoa, sijui ndio kazi inayokukalisha humu..!! Alafu unaonekana ulikuwa bonge la kilaza kwenye kiswahili, umeanza kukijua vizuri uzeeni ndio maana unasumbua watu humu.
nasubiri usahihishe na hii
 
Kuna vingi na mengi yaliyokuwepo, yapo na yatatokea Middle East, Hebu weka kinachokukera, kufurahisha, kusikitisha na kukukereketa kuhusu hii Mashariki ya kati, nchi, race, zone, politics na future.
Mimi nipo hivi huku MidoEst !!.... afrodenzi karibu kwetu nchi ya kula raha hadi kiyama !!!


Tunatumbua tulicho nacho.. hatuombi ombi.. wala hatujikombi kwa mtu yyte !!
Echolima chongchung Mtakufa kwa chuki zenu... na jahanamu ni patakuwa makazi yenu !!
 
Upuuuzi wa kushobokea Israel na waarabu na kudanganyana tu. Kuna mambo kibao ya kujadili kuhusu Tanzania kabla sijaanza kuwajadili watu ambao hawajui hata uwepo wa nchi inayoitwa Tanzania. Amka Tanzania
 
Na kweli mnakula raha sikatai ila ukweli ndio huo na jehanam siendi watu wote ni wabaguzi ila wanatofautiana viwango.
Naomba nialike kwako nije kunywa coffee.
 
Yaani hao jamaa mkiwashirikiria watu wao hata 3 tu haijarishi wana makosa au hawana, baasi taifa zima mtapata shida.
wanapendana hatari na hakuna taifa ambalo linawajari watu wake kma lile kuanzia wafungwa.
Tatizo moja ni wabaguzi hakuna mfano
Hawawezi kuungana kama wamechanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…