MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,752
- 5,497
Mkuu shikamooChochote
Hawa jamaa walikuwa ni puppets tuu, karl marx alihubiri kitu ambacho hakuwa ana practice, hata ile manifesto nasikia alilipwa aandike, root yake inatoka kwa wale ma capitalist wakubwa kabisa waliochukua jukumu la kuitengeneza dunia na kuichezea kadiri wanavyotakaMiongoni mwa watu waliochangia mabadiliko makubwa ya kiuchumi, kiitikadi na kimantiki duniani ni Karl Marx na Adam Smith.
Mfano: Kitabu kilichotoka 1776, kilichoandikiwa na mchumi Adam Smith (Wealth of Nations) kilisababisha mapinduzi ya kiuchumi duniani na kupelekea uwepo wa capitalists.
Karl Marx, Mjerumani mwenye asili ya Uyahudi, aliyeishi maisha ya tabu, akisaidiwa na rafiki yake Angel, aliandika kitabu na machapisho yaliyoendana kinyume kabisa na CAPITALISM na kuonekana kana kwamba ni mtu asiyefaa. Lakini miaka michache baada ya kufa kwake ideas zake zilisambaa na kuigawa dunia katika vipande viwili; yaani Capitalism and Communism.
Unafahamu nini kuhusu hawa watu au watu waliokuwa kwenye milengo yao?
Karibu, sema chochote..
Vitabu vya wanafilosofia/wanafalsafa wengi siyo rahisi kueleweka katika akili ya kawaida....walikuwa wakiandika mambo ambayo yapo juu sana katika fikra...hivyo mwalimu akishindwa kufafanua wala siwezi kumlaumu, kwani hata Ulaya na Marekani ambako kina Marx, Smith, Foucault, Habermas, Agamben, Kant, Arendt, Nietzsche, Dewey, Latour, Bourdieu, Lefebvre, Harvey, N. Smith n.k. walizaliwa na kuandika mawazo yao, ni walimu wachache wanaweza kuwaelewa hawa watu.Mi ni victims wa mavitabu hayo japo malecture ni wazembe hawaendi dip kufafanunua
Haziko sawa kiuchumi kutokana na mambo mengi mkuu. Na ukumbuke kila pahala panatofautiana matatizo na jinsi tunavyotumia approach zetu. Naweza kusema hakuna kitu kama communism bila capitalism. They both need each other.kuendelea lazima uwe na both otherwise utapoteza mwelekeo na kuharibika. Haya ni maoni yangu sio ya mtu.Karl max na swahiba wake wa karibu Engel waliandika kitamu murua saana kiitwacho " Comunist manifesto" mwaka 1848.
Ukifungua tu kitabu kile unakutana na maandishi " a spectre is haunting europe" na pia wakamaliza na maandishi " workers have nothing to lose than their chains"
Kitabu murua saana hiki muhimu watu wakisome kwa umakini na kukitafakari.
Kuna kitu huwa kinaniumiza kichwa kwamba hivi ni kwanini nchi zote zilizofuata communism mpaka sasa haziko sawa kiuchumi?
Viva Karl max....Viva Communism.
Hapo unazungumzia dependence theory of social development.Haziko sawa kiuchumi kutokana na mambo mengi mkuu. Na ukumbuke kila pahala panatofautiana matatizo na jinsi tunavyotumia approach zetu. Naweza kusema hakuna kitu kama communism bila capitalism. They both need each other.kuendelea lazima uwe na both otherwise utapoteza mwelekeo na kuharibika. Haya ni maoni yangu sio ya mtu.
Lakini pia mkuu nchi zilizofuata Communism haziko sawa kiuchumi kwa sababu nyingi ziliubaka mfumo huo,kwa sababu Communism ni stage ya mwisho ya maendeleo na hii inakuja baada ya Capitalism,watu wanaoweza kwenda sawa ni watu wa Ulaya na Amerika walioendelea na Capitalism toka mwanzo kwa sababu Communism inahitaji miundo mbinu yote iwe sawa/safi,uchumi uko safi kuanzia serikalini mpaka kwa mtu mmoja mmoja.Haziko sawa kiuchumi kutokana na mambo mengi mkuu. Na ukumbuke kila pahala panatofautiana matatizo na jinsi tunavyotumia approach zetu. Naweza kusema hakuna kitu kama communism bila capitalism. They both need each other.kuendelea lazima uwe na both otherwise utapoteza mwelekeo na kuharibika. Haya ni maoni yangu sio ya mtu.
Mkuu ukiangalia sana capitalism imefanya ulimwengu kutokuwa salama kabisa.Lakini pia mkuu nchi zilizofuata Communism haziko sawa kiuchumi kwa sababu nyingi ziliubaka mfumo huo,kwa sababu Communism ni stage ya mwisho ya maendeleo na hii inakuja baada ya Capitalism,watu wanaoweza kwenda sawa ni watu wa Ulaya na Amerika walioendelea na Capitalism toka mwanzo kwa sababu Communism inahitaji miundo mbinu yote iwe sawa/safi,uchumi uko safi kuanzia serikalini mpaka kwa mtu mmoja mmoja.
Sasa nchi nyingi kama Tanzania kwa mfano iliingia kwenye mfumo wakati huo ndo iko inajijenga kitu ambacho kufeli ni lazima,China wameweza kwa kiasi fulani kwa sababu wao wana population kubwa pia hata miundombinu yao waliiweka sawa toka kipindi hiko,pia hapakuwa na external infuence ya nguvu ya kuwachanganya..............mi hupenda sana maandiko ya Karl Marx.....japo hata Adam Smith namkubali sana ambae ukijaribu kulinganisha hawa watu wawili theories zake ndo zinaongoza dunia ila hata Marx theories zake sio kwamba zimeshindwa la hasha bado muda wake mwafaka zitakuja kutumika na wakati huo dunia itakuwa pahala salama pa kuishi yaani kutakuwa na balance ofa power!!!!!
Mkuu ukiangalia sana capitalism imefanya ulimwengu kutokuwa salama kabisa.
Watu wamezidinkuwa greedy and greedy in the name of capitalism. But chnese wao wanajua walikotoka na lipi wanataka. I wish ningeweza kuongea zaidi kuliko kuandika ninavyoona hizi ideology mbili.binfasi naona kuwa tunahitaji zote mbili kwa pamoja