Seltab pc tablet

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,843
8,232
Katika pitapita yangu nimeona hii tablet iitwayo Seltab Pc Tablet ikiuzwa katika maduka ya kampuni ya Sapna hapa dar kwa bei ya tsh 550,000.nimejaribu ku google haipo kwa hiyo specs zake nimeshindwa kuzijua sasa kama kuna mdau ambaye amenunua au anayo naomba aniambia specs zake,uzuri na ubaya wake ,inatumia android.
 
Mkuu kama unahitaji kununua android tablet ninayo moja with android version 4, ni 7inch with built-in wifi, USB port na HD port

Ni mpya kabisa nimepokea last week sasa njaa imenibana, my price is 400,000
 
siku hizi tab nying ambazo zina run android ni za kichina, yani coz android os inaweza kutumia na any company basi wachina wametengeneza simu na tablets kibao nyingi.
 
Mkuu kama unahitaji kununua android tablet ninayo moja with android version 4, ni 7inch with built-in wifi, USB port na HD port

Ni mpya kabisa nimepokea last week sasa njaa imenibana, my price is 400,000
Ni aina gani na model ipi,
 
Tatizo ni kwamba Android is an open source (kiufupi ni bure). Kwa hiyo inagawiwa kwa manufacturer yeyote by Google on request, na manufacturer yuko huru kui-modify kama umesikia kuna Flyme by Meizu ambayo ni modified Android. So hata wewe kama Una capital unaweza tengeneza tablets zako na ukaweka Android OS...
 
Back
Top Bottom