Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki
mkuu mbona jamaa kaeleweka vizuri tu watu 23 wameshamuelewa wanajadili mada wewe ndugu yangu unakichwa kigumu kiasi gani kutoelewa tozo ya 12000 kwa current account ni kubwa? na imeongezeka kwa asilimia1200?Kichwa na yaliyomo vitu kumi tofauti. Hoja yako ni ipi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mimi karibu wiki nzima sasa, kila nikiamka asubuhi nakuta meseji kwenye simu yangu kutoka stanbic bank inayohusu makato kwenye akaunti yangu. So far wameshakata zaidi ya shilingi 20,000 ndani ya wiki moja. Kesho nawadamkia. Kama vipi na akaunti yenyewe nafunga.
Afterall Stanbic ni kama wamefilisika hivi, ndio maana hata mikopo wamesimamisha tangu mwaka jana.
Muda si mrefu tunaweza kusikia yaliyotokea Meridian Biao na Greenland Bank.
Tuwe makini na vijisent vyetu!
Acha kudanganya Wananchi Stanbic Tanzania ni kampuni inayojitegemea TANZANIA kufanya biashara ya benki.Uhusiano wake na Standard Bank ni wa ukimiliki Tu.Biashara ikigomba Tanzania inakufa Stanbic TZ Tu.Mimi ntavyojua pesa za wateja pale sio salama ila wazungu wamesema Caveat Ampter(buyer be aware) na waswahili wanasema abiria chunga mzigo wako

Upcoming si ujibu hoja za Uzi haswa kuhusu malalamiko ya kuongezeka gharama,riba za mikopo zinavyopandishwa kiholela etc.Haya survey hayasaidii maana ni yanategemea uhusiano wa biashara.KPMG Ndo mkaguzi wa Standard Bank ss unategemea nn?Hata Lehman Brothers US ilikuwa no 2 investment bank na ikifa,Huduma Mbovu haijalishi rank unaweza Kuwa no 4 kutokana na kundi bovu la Huduma Mbovu na Za ujanjaujanja 2 sikilizeni malalamiko ya wateja sio kukalia kujisifia ranking Za kisaniiMbangaizaji Stanbic Bank (T) is one of the 4 biggest Bank in Tanzania and the most credit wealthy in the country
Mimi karibu wiki nzima sasa, kila nikiamka asubuhi nakuta meseji kwenye simu yangu kutoka stanbic bank inayohusu makato kwenye akaunti yangu. So far wameshakata zaidi ya shilingi 20,000 ndani ya wiki moja. Kesho nawadamkia. Kama vipi na akaunti yenyewe nafunga.
Afterall Stanbic ni kama wamefilisika hivi, ndio maana hata mikopo wamesimamisha tangu mwaka jana.
Muda si mrefu tunaweza kusikia yaliyotokea Meridian Biao na Greenland Bank.
Tuwe makini na vijisent vyetu!
we upcoming mnafiki huduma gani wakati transaction mnakata kuuliza salio mnakata kila kitu mnatoza ni kipi mnachotoa bure baada ya kukwapua 12k zetu? majambazi wakubwa nyieGharama za ni 9,500 kwa T plus a/c na 12,000 for current na hii ni kutokana na gharama za uendezhaji huduma bora unayo ipata Stanbic Bank kuhusu riba stanbic hawajatoka kwenye range ya rate iliyotolewa na BOT na customer may be hakusoma repayment schedule miezi ya mwanzo ya repayment customer anaweza kuchajiwa rate ndogo kum encourage cauz turnover yake inaweza kuwa ndogo na after sometime bank ina assume turnover yake imepanda na rates zinaweza kuongezeka lkn vyote hivyo vinakuwepo kwenye terms and conditions kabla mteja haja sign contract
Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki
NJOO bank M
bank m, ya sanjiv. Msanii wanakata 2000 per transaction! Transaction 10=
2000x10, service charge 25,000/-
wezi kina mkono