Selikali mmekopa Stanbic sasa wanatukomesha

tanira1

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
942
159
Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki
 
Mkuu, tayari mkulu kachakula na watu wake, nakushauri hama bank, asilimia120? only in Tanzania
 
Kila kitu nchini ni tabu!!! kwanini lakini?? sorry hivi JK yupo nchi au kasafiri....!!
 
Mimi karibu wiki nzima sasa, kila nikiamka asubuhi nakuta meseji kwenye simu yangu kutoka stanbic bank inayohusu makato kwenye akaunti yangu. So far wameshakata zaidi ya shilingi 20,000 ndani ya wiki moja. Kesho nawadamkia. Kama vipi na akaunti yenyewe nafunga.

Afterall Stanbic ni kama wamefilisika hivi, ndio maana hata mikopo wamesimamisha tangu mwaka jana.
Muda si mrefu tunaweza kusikia yaliyotokea Meridian Biao na Greenland Bank.

Tuwe makini na vijisent vyetu!
 
Mabenki mengi hapa nchini yanatengeneza faida sio kwa kukopesha ila kwa service charges zisizo na mpangilio; sasa kama hawakopeshi na kutengeneza faida kutokana na interest maana yake benki kuu imeshindwa kuwasimamia ili wasaidie kukua kwa uchumi wa nchi!!! Kazi ya benki kuu sio kuthibiti mfumuko wa bei tu bali pia kusaidia kukua kwa uchumi!!!
 
mkuu, tayari mkulu kachakula na watu wake, nakushauri hama bank, asilimia120? Only in tanzania

tunatamani kuhama lakini wametupiga pingu ya miaka 3 yaani hapa atakae tunusuru ni selikali tu lakini kwa siri kali hii sijui!
 
Kwakweli stan bic nijanga kwa mwananchi wakawaida,maana namna wanavyo chukua hela niwizi mkubwa,kosa tu upitishe mshahara wako huo,wanachukua kiasi hicho hawajari hela imekaa mda gani?tunacho omba serikali wa angalie benki hiyo,haiwezekani mtu anapitisha hapo benki mshahara wa laki nanusu halafu unamkata elfu 12 na anaye pokea lakitano, na milioni,naye atakatwaje,tunaomba maada hii viongozi wa Jf msiiondoe hapa,inatusaidia lasivyo mm nawahama.niwizi mtupu maana cjajua kama serikali haina taarifa.
 
Kuwasaidia kama hauna mkopo nao nakushauri hama hyo bank kama una ndoa nao thru mkopo plz rejea kwenye instalment schedule nenda mahakamani na mwanasheria ukafungue kesi kwamba makato ya mwezi yamekuwa makubwa kuliku mlivyokubaliana then kubalianeni mahakamani kwamba utakua unapeleka manually fedha yao! Hzo charges za 12k haikubaliki.
 
Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki

Current au savings account? Mimi nakatwa kiasi hicho katika savings account. Nataka nihamie Mkombozi bank.
 
Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki
CCM oyeeeee...
Maisha bora kwa kila Mtanzania ni magirini matupu
 
Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki

Pole sana! Wakimbie tu hao kama huna strings nao! Banks mbona zipo nyingi tu nchi hii!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kwa mazingira ninayofanya kazi yalinilazimisha nifungue account stanbic hili mshahara wangu uwe unapita huko,kinachoniumiza ni makato ya 12000/= kwa mwez,kutoka zamani ambambo ilikuwa unakatwa 2000/= kwa mwez ,nilijaribu kuwambia maofisa wa benk wakasema gharama zimepanda za uendeshaji wa benk,mie kwa sasa nang'atuka stanbic bank naona kwa sasa imeingiliwa na mafisadi
 
His Bank inaendeshwa Kwa kurda za Allah sitoshangaa ikifa siku yoyote.Hamna uongozi pale.Wenye visenti kuweni makini maana vinaweza kuyeyuka
 
Hivi kuna watu bado wanafungua acc kwenye bank kama stanbic,mkombozi,etc,
To me nbc and crdb serve the best period!!BANK HAZINA HATA UHAKIKA WA KESHO

Nigga Stanbic Bank is the richest bank in Africa na sio kweli kwamba haina uhakika wa kesho and also you should know that Stanbic is a tier, so you will be provided with a safe guarantee of your money with Stanbic Bank and you will move foward
 
kumbe hadi serikal inakopeshwa na hya mabenk? Ndyo maana wanapandisha ma riba hovyo na serikal inawachekea
 
kumbe hadi serikal inakopeshwa na hya mabenk? Ndyo maana wanapandisha ma riba hovyo na serikal inawachekea tu
 
Nigga Stanbic Bank is the richest bank in Africa na sio kweli kwamba haina uhakika wa kesho and also you should know that Stanbic is a tier, so you will be provided with a safe guarantee of your money with Stanbic Bank and you will move foward

Acha kudanganya Wananchi Stanbic Tanzania ni kampuni inayojitegemea TANZANIA kufanya biashara ya benki.Uhusiano wake na Standard Bank ni wa ukimiliki Tu.Biashara ikigomba Tanzania inakufa Stanbic TZ Tu.Mimi ntavyojua pesa za wateja pale sio salama ila wazungu wamesema Caveat Ampter(buyer be aware) na waswahili wanasema abiria chunga mzigo wako
 
Back
Top Bottom