Punyeto ni mbaya kwa afya ya akili, nafsi na hata kiroho .. Unapo ona kuna ufanyaji wa punzyeto kuna mahaba roho.. ni mbaya mahaba roho yana haribu maisha.. kila kitendo cha kumwaga mashahawa au kufikia mshindo ni sawa na kutoa sehemu ya uhai wako na baraka ... Tokomeza Punyeto