Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,551
- 235,319
Sijawahi ionaHuyu mbna yupo, kuna tamthilia fulan kaigiza km driver wa Tax.
Watakua wamefuliaHuyu mbna yupo, kuna tamthilia fulan kaigiza km driver wa Tax.
Nyota zishafifia😂!
Navopenda matunda mie 😋😋😋😋😋😋😋!
Yupo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila shouzzz wee khaaaah.Watakua wamefulia
Nyota zishafifia[emoji23]!
Kwa kweli wamekaa kimya mno[emoji23]Watakua wamefulia
Nyota zishafifia[emoji23]!
Kweli shos hawasikiki kama enzi hizo 🤔![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila shouzzz wee khaaaah.
Nlimuona kwenye hiyo tamthilia, sijakumbka jina vizuri.
Zama zao zishapita.Kweli shos hawasikiki kama enzi hizo [emoji848]!
Karibu Bosslady[emoji4]Navopenda matunda mie [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!
Mchumba bwana tulia angalia watoto wa kiume wanavyocheza[emoji23]Tukutane hapa tuangalie Liver mnavyokufa Saint Anne [emoji4]View attachment 2228008
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kijana mdogo unapenda timu ya wazee!Mchumba bwana tulia angalia watoto wa kiume wanavyocheza[emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tulia weweKijana mdogo unapenda timu ya wazee!