Selfika na JF: Snap it. Show it

Na kweli nimegundua wewe siyo muandika magazeti kabisa yaani sijawahi kufuma gazeti lako humu hata kwa bahati mbaya,, mtu akibishana na wewe anajichosha tu maana hauchelewi kumjibu "sawa mkuu"..

Na ndiyo maana kwenye lile shindano la Hazard nilikuambia wewe utashinda nafasi ya kwanza kati ya wanawake wenye kauli nzuri humu JF maana una majibu fulani amazing,, nikikuwa mkubwa nataka kuwa kama wewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…