Pisi ikikuelewa vzuri mbona inakuja na inaishi fresh hapoπTatizo vyanzoo vyanzoo na mtoto gani atakubali kunja tuishi humu kha π¬π¬π¬π¬ Tupia basi mkuu cha kiofisi ile π₯π₯π₯
Bando limeisha unafikiri naona picha tena hapa natumia freebasic π«£π«£π«£ kwisha habari yangu π π π πPisi ikikuelewa vzuri mbona inakuja na inaishi fresh hapoπ
Usifanye mchezo na kitu inaitwa maloveeeee
Nitatuma jioni usikonde
Jibu lake utalikuta kuleeeeeeπ€£
Unaishiwaje bando na ndio kwanza j3 buda?Bando limeisha unafikiri naona picha tena hapa natumia freebasic π«£π«£π«£ kwisha habari yangu π π π π
Kwaweli siwezi miliki pisi kali wala pisi mbovu, wacha nitulize nafsi yangu, nyie woote mashemaji zangu tuuu π¬π¬π¬π¬ bundle kilikuwa hasubuhi sasa hivi kwisha yaani lolUnaishiwaje bando na ndio kwanza j3 buda?
Utaweza miliki pisi kali kweli wewe kwa style hiyoπ
Muba mube mubi mubo mubuππππ lonlyyyy
Leta no nikuunge bando, unapitwa na mapicha picha ya ukweli humuKwaweli siwezi miliki pisi kali wala pisi mbovu, wacha nitulize nafsi yangu, nyie woote mashemaji zangu tuuu π¬π¬π¬π¬ bundle kilikuwa hasubuhi sasa hivi kwisha yaani lol
πππππ jana nimelala naumwa mbavuβ¦Muba mube mubi mubo mubu
Kuna dogo namfundisha kusoma hapa nipo busyπππ
au nitafute shangazi mmoja aniokoe, msingi uwe mkiuno in nani sijui yule voice π«£π«£Unaishiwaje bando na ndio kwanza j3 buda?
Utaweza miliki pisi kali kweli wewe kwa style hiyoπ
ππππ hapa umeongea la maana nataka la data tu internet peke yake vodacomLeta no nikuunge bando, unapitwa na mapicha picha ya ukweli humu
Sawa ila jua hamna cha bure eehππππ hapa umeongea la maana nataka la data tu internet peke yake vodacom
Nataka uumwe na leoπ€£π€£π€£π€£π€£πππππ jana nimelala naumwa mbavuβ¦
Sitaki ujue π€£π€£π€£π€£π€£π€£
kwakweli sina cha kukupa labda niwe beki tatu kwako kama nafasi ipo kwa mda wa wiki moja tu au mbili π¬π¬π¬Sawa ila jua hamna cha bure eeh
Na me utanipa nini in return?
1gb unakua beki 3 for 1 weekπkwakweli sina cha kukupa labda niwe beki tatu kwako kama nafasi ipo kwa mda wa wiki moja tu au mbili π¬π¬π¬
Fanya hata 3GB nakuwa beki 3 kwa wiki moja kiroho safiii βΊοΈβΊοΈβΊοΈ1gb unakua beki 3 for 1 weekπ
Deal?
Mchicha wangu πUmekuza.
Nishageuka boss lediGeuka mbele
So jana umenikausihia mbezi mwisho π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ ama kweli watu wa dar ni πππNishageuka boss ledi
Hahaa fresh, limepita hiloFanya hata 3GB nakuwa beki 3 kwa wiki moja kiroho safiii βΊοΈβΊοΈβΊοΈ
Nitafaidi nitakuwa na advantage mingi, na kuona kile vitu special ambavyo big boy ana enjoy πππ mie kuona tu roho yangu inakuwa saafiHahaa fresh, limepita hilo