Injili popote haichagui ili nafsi zenu chafu ziokolewe,Mnaleta injili selfika
umeamkajeusiwe kama mtu chake Anne sababisha pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
hahahahaKwamba hudaiwi, huna chama na hutembei na mke wa mtu. mjumbe weeeeee ninoumarrr!!
Niko gudo sana mjeda!umeamkaje
Amen![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2226404
Mbona godoro halina shukaπKumekuchaa π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ
cocastic karibu ghetoni ... Habari za kuhamukaView attachment 2226423
We yako iko wapi??Ungetoa ivo vimaua ua kama walivyokuwa wanafanya jana usiku ingependeza sana mkuu.
Shuka si ndio hiyo nimejifunikaaa π π π au kuna shuka gani tena jamani zaidi ya kujifunika .. watoto wa kishua wanahisi store hii kumbe gheto languMbona godoro halina shukaπ
Big Boy wanataka ku prove kitu, usiwe mkali ππWe yako iko wapi??
Kumbe tupo sawa kabisaa, piemu kufata watu utajifutia ambayo hukutaka kuyapata.. utakutana na vitu vizito
Ikifika tuambizane....iko njiani mkuu.
π€£π€£π€£ humo unapata hewa ya kutosha kweli jamaniShuka si ndio hiyo nimejifunikaaa π π π au kuna shuka gani tena jamani zaidi ya kujifunika .. watoto wa kishua wanahisi store hii kumbe gheto langu
π€£π€£π€£π€£π€£Big Boy wanataka ku prove kitu, usiwe mkali ππ