Selfika na JF: Snap it. Show it

Madam Shangazi mahondaw nakuona nakuona.. just introduction ... badae mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Wauuuweeeeeeh!!!🀸🀸 Hapana chezea baba pastaaaaaaa!!! Naona IJN Mahaba ni ndendendeeeeeeeee!! !!πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ€­πŸ€­πŸ˜œ
 
hiyo haina effects tuna hati zaidi ya tano za mabadiriko au hau mfahamu mjomba uncle sam dj πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… pengine utakuna ana mjomba jeremiah waona nini , badae utakuna na Peter acha tuu mtu atabaaa mwenyewe kila sehemu na lugha yao
Nilihisi hivyo pia; nimekufehemu sasa. Haya cha ujanja
 
Upako wa leo ni waβ™₯️β™₯️β™₯️β™₯️β™₯️ !! Baba pasta ni noumaaaaa hatare πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯! πŸ˜‰πŸ˜‰
Mmeona nini tena jamanii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… msimshtue Shangazi wangu mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…