Aah kumbe ni ww mkuuMay23,2019.Wa mchongo.View attachment 2223609
Kausha
Ona huyu Mnyamwezi naye [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Nampendaaa Big Sam wangu katu simwachii.... [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mtasema mtachoka hatokiii....[emoji182][emoji3590].
Eeweee njiwa eewee njiiiwaaaa,
Peleka salamuuuu, kwa yuuleee, kwa yuleeee wangu wa ubani Big Boy Sam.
Ulale unono usingizi wangu [emoji3590][emoji177].
Ona huyu Mnyamwezi naye [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ahsante kipenzi!nami pia nimefurahiNimefurahi kukuona bina
kabuktaaa 🔥🔥🔥#sunsoaking & #work
View attachment 2223772
hahahaha,nilitupia mkuu uliza raia
Na mimi pia nimefurahiAhsante kipenzi!nami pia nimefurahi
Boss nilipitwa[emoji23]rudia vocha moja kwa ajiliyangu[emoji23]Na mimi pia nimefurahi
Madam nibariki Basi[emoji24]nilipitwa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho tunakudai selfiii baba pastaa.umetuhujumu wana selfika wenzio kwa kupita kimya kimya
Ni ipi hiyo sasa boss wangu?Boss nilipitwa[emoji23]rudia vocha moja kwa ajiliyangu[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wajumbe hawaachi kitu [emoji23]Ni ipi hiyo sasa boss wangu?
Ila ujue ni timing maana kuna wajumbe wanarefresh kila dakika hapa