Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Nazionaga sana wanaume wa dar na ma banker sana sanaaa na wasukumaaa wanapenda hivi na ma rais na watu wazito wenye pesa zaoo [emoji28][emoji28]
Kama huna pesa ukivaa hizo unakuwa kama comedian tu π π π[emoji2][emoji2]
Imeisha hiyo
[emoji28][emoji28][emoji28] ujijue dili .. usije tekwa nyaraaa
Za kuambiwa
Changanya na za kwako
Kama huna pesa ukivaa hizo unakuwa kama comedian tu [emoji28][emoji28][emoji28]
π π πHalafu huwaga wanachomekea suruali kwenye kiatu..
Kazi hatarishi Kama yangu..kuna muda panya akijipendekeza namfinya na buti km amekanyagwa na semi trailer πVizuri sana kwa usalama hasa kwa maeneo ya kazi zenye mazingira hatarishi
[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2221748
Leo Wigelekelo live no emoj wala nini shangazi !Nimepitwa jamanii
Ana tabia mbaya anasubiri hatupo ndio anatupia[emoji30][emoji30]
Midomo nywele mule mule π₯π₯π₯π₯π₯ hizo ndio lips eeh πππ
Nkamu utakosa pumzi na hilo ua
Sijavaa hivi na kutokea public π π πIla hiki kizuri sana...
Kaniona ujue [emoji23]Hili limezidi mjomba hawezi kukuona vizuri ana matatizo ya macho hebu punguza kidogo[emoji2][emoji2]
Kazi hatarishi Kama yangu..kuna muda panya akijipendekeza namfinya na buti km amekanyagwa na semi trailer [emoji28]
[emoji3059][emoji3059][emoji39]..nitafutie hela sasa ili siku nikiingia pm za watoto wakali km huyu niingie Kwa confidence [emoji41]
Nkamuuuuu [emoji23][emoji23] nitalitoa.Nkamu utakosa pumzi na hilo ua
Mambo flani hivi jirani kesho nakuleteer hii π π π ila itakutosha au basiNkamu utakosa pumzi na hilo ua