Asante sana mkuu!!! Kabisa mie niweke kwenye kusifu napenda sana kucheza mieπ€£π€!Huu hapo mahondaw ya kiswahili.. tuanzishe teama yetu ya praise and worship πππ
Heaven Sent
Shangazi ushatupia??
Hii kitu imenigusa
Punguza wivuπWameshakufundisha na mipasho[emoji1787][emoji848]
Umeandika huku kidole kinaning'inia
Wahuni sio watu
Nitumie contacts zao
Huu hapo mahondaw ya kiswahili.. tuanzishe teama yetu ya praise and worship πππ
Heaven Sent
Ndiyo kalikuwa katabia kangu; nilikuwa nafunga mlango mkubwa then nayarudi mayenu. Siku hiyo kumbe sijafunga mlango, afu baba kaja mara moja; mweeh asinibambe. Si unajua kinyumbani na khanga umeikunjia kwa nguo uyarudi vizuri π€£π€£Sasa unajua home napenda kucheza zangu mie [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] nikiamua za kusifu utagonga mlango uibe vyote ndani mie sisikii !!
My one favourite from Steve Crown - Imela.
Mkuu huhitaji tena?Shukrani sana mkuu na ubarikiwe mnoo mnoooo! Kesho nitakuchek mkuu saivi Nikapumzishe fuvu langu kwanza [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42].
Usiku mwema once again!
π€£π€£,wapi mkuu? Nimekumic longtimeUnanikumbusha mbali mkuu
Mwana jf akituonyesha moja ya machaka anapochimbiaga dawa!.
Nikuchimbie na wewe?Mwana jf akituonyesha moja ya machaka anapochimbiaga dawa!.
Huko kote nimezunguka.[emoji1787][emoji1787],wapi mkuu? Nimekumic longtime