Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kazini so hautaki kuwasababishia dhambi watahiniwa? Vaa tu uselfike for me puliizSijaelewa ma mchungaji kamba Monday nivae kwa job au nimeelewa vibaya??
Kwanza ukaoge ndio uje kunipangia maisha π€£π€£Hebu panga kwanza kagodauni [emoji1787][emoji23][emoji119]
Ila watu wana maneno hapa mjini
RIP smart912
Siyo kuringa tu but you trully deserve anything that this world has to offer...from any man!Kwahiyo niringe sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji6]
Asante msukuma[emoji120][emoji120]!!
Itakuwa Lile kabati langu la handbags alilohisi nipo dukani
Nikajifunze kuoga[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]Kwanza ukaoge ndio uje kunipangia maisha [emoji1787][emoji1787]
Huduma yako iko wapi Baba Mchungaji? Uyole ama?Nipo mwana wa Mungu [emoji1666][emoji122]
Sasa mambo ya kuchambana tena...?Bachelor hali kande? Nyie watoto wa Dar mna mamboβ¦
Wali kanunue rice cooker, ilo sio rice cookerβ¦
Hilo tunanunua sisi wala makande, maharage na michemsho.
Nishachanganyikiwa mie ngojeni kwanza nipumzike kidogo fahamu zinirudie
π π πSasa mambo ya kuchambana tena...?
Umeikumbuka?
Mama Junia sijakuona[emoji17]Nikajifunze kuoga[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
Akiyanani
Hafu nipange kagodauni kwanza
Yeah!Mambo yako hayo
Mizigo Express
Ila li mahondaw lizuri