Samaki Ndio mkombozi wangu saivi! Yani tangu nizaliwe nilikua nakula saivi kama miezi 6 hivi nashangaa nikila Navimba a mwili mzima afu nawashwa utanionea huruma! Hapa nawaza nikibeba ujauzito mwingine nikijifungua kupatikana kwa samaki sasa nilivozoea mchemsho wa nyama mie uwiii!!!!!🙆🙆