B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Ya chui π
Njoo tunyee cappuccino sio kwa kunihamisha huko π π πNiko na best angu hapa tumejipumzishaView attachment 2204908
Grano au wapi nije chaaapπNjoo tunyee cappuccino sio kwa kunihamisha huko π π π
ππYaah lakini pia distance kutoka jicho moja kwenda jingne na size ya jicho lenyewe ππ
Mwambie atoe ushungi tuone Kama lipo au halipo!Una macho mazuri mkuu
Mwambie atoe ushungi tuone Kama lipo au halipo!
Grano inapendeza π πGrano au wapi nije chaaapπ
Nitoe ushungi sikumbuki mara ya mwisho watu wangu wa karibu kama waliwahi kuona bichwa langu sembuse JfMwambie atoe ushungi tuone Kama lipo au halipo!
Na hali ya hewa inaruhusu leo, nakujaaaaaπββοΈπββοΈGrano inapendeza π π
Bibie ushawahi kupigwa hadi unasahau jina lakoπ¬π¬π¬Na hali ya hewa inaruhusu leo, nakujaaaaaπββοΈπββοΈ
Ni kunywa kahawa tu, hamna lingine kweli tenaπ€£π€£Bibie ushawahi kupigwa hadi unasahau jina lakoπ¬π¬π¬
Mwambie suna tuMtoto wa kiislam kujistili
wife.. πππBibie ushawahi kupigwa hadi unasahau jina lakoπ¬π¬π¬
Kahawa tu Lenie hakuna kingine sehemu enyewe public ππ
Punguza vurugu kidogoNitoe ushungi sikumbuki mara ya mwisho watu wangu wa karibu kama waliwahi kuona bichwa langu sembuse Jf
Mwambie suna tu
Hiyo kazi nakuachia wewe usikwame nduguAu sio mkuu π
Bdae tukutane pale kwenye mziki mzuri[emoji4]