ππππ
waoh.umenivuruga
Dadeki!
hahaha utakojoa au utajisaidia ?Ukiselfika wewe nakojoa hapa hadharani![emoji12]
Najua ndio mambo zako unazopendagaπwaoh.umenivuruga
We Bosi Ledi ni lizuri tuache utani!
π€£π€£π€£π€£πππ kiazi cherema tu mieWe Bosi Ledi ni lizuri tuache utani!
Naomba niwe mpiga picha wakoπ€£π€£π€£π€£πππ kiazi cherema tu mie
Na tumbo limeisha dah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] kiazi cherema tu mie
Limepungua bado naendelea liishe kabisa sio kwa michambo mnaotuchamba wanawakewenyewe vitambi asee!Na tumbo limeisha dah!
Karibu sana .... uwe unanielekeza pozi nzuri za picha!Naomba niwe mpiga picha wako
Nakojoaaaaaaaa!!πhahaha utakojoa au utajisaidia ?
Hongera aisee endeleza mazoeziLimepungua bado naendelea liishe kabisa sio kwa michambo mnaotuchamba wanawakewenyewe vitambi asee!
Tukutane mazoeziniKaribu sana .... uwe unanielekeza pozi nzuri za picha!
na unajua kuniumiza we binti mrembo.dah umeniumiza leoNajua ndio mambo zako unazopendagaπ
Wewe labda ufanye Mazoezi ya kuwa na stamina na kuwa fit enough πππDadeki!
Na mimi leo naanza mazoezi [emoji91][emoji91][emoji91]
hebu tupia na ww tuoneHongera aisee endeleza mazoezi
Usiwaze mida ile ile ya kila siku!Tukutane mazoezini
Hahaha..... wee mwanaume ujue unaliajeliaje kirahisi mjeda!!na unajua kuniumiza we binti mrembo.dah umeniumiza leo
Sina picha mpya rafiki ..hebu tupia na ww tuone