Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuwa mwangalifu pia. Baadhi ya hizi herbs zinaweza kukuharibia ini na figo hasa ukizitumia kwa muda mrefu. Kuna kesi nyingi zinarindima kuzihusu...
πŸ™πŸ™ sikuwa nafahamu hili, umenifanya nianze kufatilia. Ingawa namshukuru Mungu nimefanya checkup mwili mzima, kuanza ini, figo , na kila kitu kipo okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…