Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Ulale sasaUnavuta huo Moshi?
Ingia Fellowship Charismatic
Utaniimbia kwenye harusi yangu mdogo angu eeh, wadogo wa bibi harusi hao wana wimbo.... ππTumoghele
Ah tumoghele
Bhakukaja
Ah tumoghele
Bha kumbeye
Ah tumoghele
π€£π€£π€£π€£π€£Hutaki kuwa high?
Kataa kuwa chini.
Chini kuna matapeli π€£π€£π€£
Ndo naenda hapa kulalaπ€£Ulale sasa
Hapana ila nawaonaga wanaotumia hilo vibe lake si mchezooUnatumia? π€£π€£
Ewaaaa
Kwa hio kabla ya kuvuta nasali au vipi?Kuna basics ulikosa mkuu.
Ungezipata hizo basics unge reap benefits zote zinazokuja na plant.
Unamuhitaji mentor pale unapoamua ku engage kwenye a life changing adventure kama holly plant.
Kwa haraka haraka pia hukuupa mmea heshima yake kamili. Hili linadhibitishwa na namna umeu refer hapa
Lazima tuimbe.Utaniimbia kwenye harusi yangu mdogo angu eeh, wadogo wa bibi harusi hao wana wimbo.... ππ
ππππ tuliaaaaUnavuta huo Moshi?π€£π€£π€£π€£
Ingia Fellowship Charismaticπ
Nahitaji matokeo yenu na Asenaliπ€£π€£π€£π€£Ulale sasa
Unahudhuria ndiyoππππ tuliaaaa
Chuo nilikuwepo, mi ni muhudhuriaji mzuri wa shughuli zinazomuhusu Mungu na Kristoβ¦
Kaa hapo kunambia nimeshindikana π€£
π€£π€£π€£π€£Na ole wKo uje uniulize ni nani ni nani
Na mapombe yako
Jitahidi uelewe makapu
Sijakuitaπ€£π€£π€£π€£
Nakuja ππΎββοΈ
πMe nilikuwa nishaanza kumuogopa, na alivyo barikiwa sauti kali π
Ulisoma wewe au Ulikuwa service
Tumecheza leo?Nahitaji matokeo yenu na Asenali
π€£π€£π€£π€£Tumecheza leo?
π€£π€£π€£Kwa hio kabla ya kuvuta nasali au vipi?
Hebu nipe taratibu, nimeita bangi kwa sababu kwa kitu ulichonifanya sitosahau, kwanza nililala sakafuni, nikaanza kusikia sauti ya bi mkubwa na mzee wangu wakilalama kwa nini nimevuta bangi, nasikia kabisa wanasema "tumpeleke hospitali ya karibu" kumbe zilikua ni bangi tu.
Ulikua umetupia na ka saraverza kadogo?Hakuna hata aliye kuwepo.
Halafu heart beat kupanda sana hii sio nzuri hasa ukinywa na pombe kiasi, aisee hii kitu hapana kabisa, ilinishinda.
Heart beats huwa zinaongezeka kwa mvutaji yeyote (hata wa sigara).Hili tatizo la heart beat nilifanya research nikagundua linawakuta wengi, unaweza pata heart attack kama ukiwa na hofu sio mchezo.. Achaa niite bangi.
Hee!πππππ€²Tumecheza leo?
Hebu elezea sasa vizuri mdogo etuπSijakuita
Iβm here girlie
Weee na mwenzakoo
Akiii
Akisoma
Atanifinya akiniona