Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,386
Shangazi[emoji2956]View attachment 2196437
[mention]Heaven Sent [/mention] miguu ya baba [emoji2][emoji2]
Amiin [emoji120]Baraka zake Mola ziwe nasi sote,leo na hata milele...View attachment 2196155
Dah.. πππ fantabolous
Huko mtanisubiri sana ππ Sitaki stress zaidi mie π₯΅kama tunavyokusubiri kwenye trading ππ
Nitazipo baada tu ya dk kadhaa
Jf kuna pisi kali
Danganyikeni tu ππJf kuna pisi kali
Vipo viondoa stress bwana.. π πHuko mtanisubiri sana ππ Sitaki stress zaidi mie π₯΅
Fanya haraka kabla mvua haijarudi.π
kwani wewe sio pisi kali ... niitishe maandamano kutokea mwenge hadi postaDanganyikeni tu ππ
Ah wapi...tunaona kabisa hapa mrembo portable, mrembo carriable kabisa.Danganyikeni tu ππ
[emoji23]
Wapi huko?Aisee kumbe tupo mkoa mmoja
Bado kukuphotoa na wewembona umempiga picha mdogo wangu.. unatafuta ugomvii ππππ
Daah naona umeamua kututia moyo wenye matege yetuMwanamke katege flani bwana, sio mamiguu yawe yamenyooka kama gori la mpira wa miguu yani anakuwa kama jini kasimama road au jini anatembea
weeeee.. nikung'oa kucha bila ganzi π πBado kukuphotoa na wewe
wenye matege mmbarikiwe mnaviti vyenu maalamu kabisa.. bila ka utege kwa mwanamke hajakamilika bado.. anakuwa kama mwamba tu au kama nguzo ya umeme tu ππDaah naona umeamua kututia moyo wenye matege yetu
Wee sema muda gani utakuwepo mitaa hiyo mie nitapiataWapi huko?
Sasa tege linaniga mwanamke uwe unapendelea kuvaa dresses zinazoishi just below the kneeππππDaah naona umeamua kututia moyo wenye matege yetu
Hadi mwakani tenaWee sema muda gani utakuwepo mitaa hiyo mie nitapiata
Basi sawawenye matege mmbarikiwe mnaviti vyenu maalamu kabisa.. bila ka utege kwa mwanamke hajakamilika bado.. anakuwa kama mwamba tu au kama nguzo ya umeme tu ππ
Mlele umepita.. hatari sana inakuwa... unaweza baki umeduwaa kwa kulitazamaaSasa tege linaniga mwanamke uwe unapendelea kuvaa dresses zinazoishi just below the kneeππππ