Umegundua leo🤣🤣🤣Madeni yanaanzwa kulipwa kuanzia leo nimekoma kukopesha marafiki, binadamu ni wabishi sana kulipa deni hasa ukiwa umemkopesha hela ndefu…
Mtu akihitaji msaada aende kwenye taasisi zinazokopesha fedha…
View attachment 2192168
Umegundua leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila amarula jamaniComing in catwalks...
Let me put my hills 👠 on...😅
Ukiona nayumba sana ukuje unipokee nisianguke.... na hivi ni usiku....😆😆😆
Amarula ishafanya yake....
😆Madeni yanaanzwa kulipwa kuanzia leo nimekoma kukopesha marafiki, binadamu ni wabishi sana kulipa deni hasa ukiwa umemkopesha hela ndefu…
Mtu akihitaji msaada aende kwenye taasisi zinazokopesha fedha…
View attachment 2192168
Shkamoo dadaHamjambo wana selfika..
Mi navipenda eti[emoji23][emoji23]Kuna muda naviangalia
Nasema hiiiiiii
Kwani ilikuwaje!!
MweeSaint Anne nyoya dogo
Ha ha haaaaa
Vidole tangawizi vya mikonoMwee
Nimepitwa na nini tena?
Shkamoo mwalimuuuuMadeni yanaanzwa kulipwa kuanzia leo nimekoma kukopesha marafiki, binadamu ni wabishi sana kulipa deni hasa ukiwa umemkopesha hela ndefu…
Mtu akihitaji msaada aende kwenye taasisi zinazokopesha fedha…
View attachment 2192168
Nikopee mimi mwalimuBinadamu ni kiumbe wa ajabu akiwa na shida anakuwa mdogo akitatua shida zake anageuka kulipa pesa..
Nimejuta moyo wangu wa kujitolea unanighalimu sana ila sasa dawa yao ndogo tu, no mkopo.
Tuone sasaVidole tangawizi vya mikono
Shkamoo kaka handsome
Lipo ilomba hapa dadaShkamoo kaka handsome
Duka lako lipo wapi nije kununua bidhaa hapo?
Utanifanya nije dukani kila siku wakati sina kawaida ya kwenda dukani mara kwa mara.
Itapendeza si hauji kukopa?Utanifanya nije dukani kila siku wakati sina kawaida ya kwenda dukani mara kwa mara.
Cash cash
Karbu sana nyingi hioCash cash
Hakuna mambo ya mikopo[emoji23]
Ila utakuta nanunua pipi moja ya hamsini