Selfika na JF: Snap it. Show it

Maisha menyewe ni haya haya. Ukishavuka 70 hakuna jipya ni kumalizia malizia machicha ya chai ya jioni tu na kujilamba midomo isiyo na meno - tayari kwa ile safari isiyo na rejea!

Kuzeeka si kufa ukijiandaa kwenye engo zote.

Ni heri ukiondoka huku watabasamu...

Hali ya hewa ya huku yasadifu sukari bin asali....πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…