Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,836
Sijambo aisee. Nimekumisi mpaka naumwa. Kuonekana kwako hapa kwa kusuasua sana yaani. Natumaini kila kitu kiko poa huko kwako [emoji1545][emoji2][emoji2]nimejikuta nacheka hakyababa tena..na sauti ilivyoyamkwaruzo sasa[emoji16][emoji16]kama wale wapiga debe wa sinza makumbusho.
Sijambo Daddy…unaendeleaje binafsi
Shem darling bado nazunguka tu..Yes shem darling kama upo mjini nijulishe
Umeona eeh tupige gongo kama last time[emoji4]Shem darling bado nazunguka tu..
Nikifika mjini nitakucheki tukanywe japo gongo
Sina picha ya hivyo rafikiEbu tuone[emoji4]
Crop pic moja ibakie shape tuSina picha ya hivyo rafiki
Sio wanene wote wamejaliwa wengine tupo tunasindikiza [emoji23]
Usiumwe sasa daddy na wewe..bintiyo ataumwa mara buku ujue😃😃Sijambo aisee. Nimekumisi mpaka naumwa. Kuonekana kwako hapa kwa kusuasua sana yaani. Natumaini kila kitu kiko poa huko kwako [emoji1545]
Kwa sasa sina hiyo pichaCrop pic moja ibakie shape tu
We ulisikia wapiSina picha ya hivyo rafiki
Sio wanene wote wamejaliwa wengine tupo tunasindikiza [emoji23]
Shem darling ile gongo ya siku ile iliishia kwenye unyayo.Umeona eeh tupige gongo kama last time[emoji4]
Sawa rafiki ukipata pic nzuri utawekaKwa sasa sina hiyo picha
HahaWe ulisikia wapi
Shem darling..[emoji3]We ulisikia wapi
Okay thanksSawa rafiki ukipata pic nzuri utaweka
Hata mimi Niko hivyo hivyo.Haha
Unene juu chini tupo flat
Kwani nasema uongo ndugu yanguShem darling..[emoji3]
Umenena vyema hapo mwisho .. ukijikubali unadunda tu mwenyewe .Hata mimi Niko hivyo hivyo.
Umbo namba tisa kifuani cowbell za kutosha nyuma flatiscreen.
Najiinjio tu yani nimejikubali
Mungu anakuonaHata mimi Niko hivyo hivyo.
Umbo namba tisa kifuani cowbell za kutosha nyuma flatiscreen.
Najiinjio tu yani nimejikubali
Kabisa yani.cha msingi kujikubaliUmenena vyema hapo mwisho .. ukijikubali unadunda tu mwenyewe .
Maisha ni haya haya .
Nalijua hilo sana tu cha ubishi wanguMungu anakuona