spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,132
- 21,858
Kumbe nililike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaona huyo anakusanifu tu. Amelaiki fasta halafu akaanza kulalamika sijui swaumu nini...
Naona mtandio umemharibia swaumu yake. Alikuwa anafikiri Boss Lady ni wa mchezo mchezo? Mwache apambane na hali yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Sema
Ewaaaaaa! Hajjat mzuri mzuri ✌️✌️😘Unaka kusemaView attachment 2183956
Shauri yako
Mtandio kama ndo ule basi khatar sheikhKaona huyo anakusanifu tu. Amelaiki fasta halafu akaanza kulalamika sijui swaumu nini...
Naona mtandio umemharibia swaumu yake. Alikuwa anafikiri Boss Lady ni wa mchezo mchezo? Mwache apambane na hali yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Umefunga wewe?
ByeeeByeeeeeee[emoji2442][emoji2442][emoji2442][emoji2442]
Linda swaumu yako kwa hali na mali Ostaadh! [emoji16][emoji16][emoji16]
nakuja kula iftarNdiyo[emoji41]
Duh sijaikuta tenaJamani 🙄🙄 haya sekunde tatu nafuta... ukitoka usinilaumu
nishatupia nyingi sana leo 😜😜!Duh sijaikuta tena
Zote zimenipita😀nishatupia nyingi sana leo 😜😜!
Ulikua Wapi lakini??Zote zimenipita😀
Dah majukumu boss ladyUlikua Wapi lakini??
Hata hivo nyingi nimezirudia tu nahisi ushazionaDah majukumu boss lady
😀😀😀 ngoja ni assume nishazionaHata hivo nyingi nimezirudia tu nahisi ushaziona