Sawa
Mkuu pamoja na uhandsome wote huo unashabikia timu mbovu?
Unataka kusema nini Boss Lady? [emoji870][emoji870][emoji870]kabisa raha ya vocha igombaniwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
hahahaaa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ay?Kalumbuuuu
AY wetu wa Mbeya[emoji23]
Ni kipindi tu tunapitia yana mwsho hayoMkuu pamoja na uhandsome wote huo unashabikia timu mbovu?
[emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ay?
Sure[emoji28]hahahaaa...
Ukiwachekea wanakugeuza Bibi yao...
Vile watuwanavogombania vocha inaleta burudani fulani hivi tofauti na kutuma pm!! Ni kama kucheza gemu π€Unataka kusema nini Boss Lady? [emoji870][emoji870][emoji870]
Ndio mwisho ushafika hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwsho msimu huu mwakan Tan Haag yupo mtatukomaNdio mwisho ushafika hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaona ukiongea kisongea mkuu...shida Nini??[emoji6][emoji6][emoji6][emoji41]
Nimekuelewa Boss Lady...Vile watuwanavogombania vocha inaleta burudani fulani hivi tofauti na kutuma pm!! Ni kama kucheza gemu [emoji847]
Habari za uzima msukuma!! Naona ulikosa mtandio ukasusa [emoji12][emoji12]!!
khakhaa... ndio upo msukuma!Nimekuelewa Boss Lady...
Ndiyo. Tumetoka mbali sana. Sasa siku ile nimepigania mtandio mpaka kichwa kikaniuma dah! Basi nimeona isiwe shida Boss Lady.
Kwani mtandio bado upo? [emoji15]
Kwa mara ya mwisho. Nauomba...hata kama ni kwa sekunde tatu tu unafuta.khakhaa... ndio upo msukuma!
Jamani ππ haya sekunde tatu nafuta... ukitoka usinilaumuKwa mara ya mwisho. Nauomba...hata kama ni kwa sekunde tatu tu unafuta.
Nipo!Jamani [emoji849][emoji849] haya sekunde tatu nafuta... ukitoka usinilaumu