Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Sasa unaomba lift hata location huijui, ntakuteka oooooh.Location wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeya nitakuwepo august to october, hivi pale mjini vyumba bei gan?
Usitoke kaa hapa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anifiche nan sasa? Niliishiwa bundle mwenzio.
Nisaidie vocha bas.
Sitaki hapa ni kuleeee.Usitoke kaa hapa hapa
Ila umeselfika leo kweli?
Hivi Palladino alikupa zile vocha au aliishia kuwa mswahili?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anifiche nan sasa? Niliishiwa bundle mwenzio.
Nisaidie vocha bas.
Ndyo chumba cha kupanga self, natakaa nianze maandalizi toka now time.Sasa unaomba lift hata location huijui, ntakuteka oooooh.
Unataka chumba/nyumba ya kupanga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda sina nyota kwake, had nshasahau mbna.Hivi Palladino alikupa zile vocha au aliishia kuwa mswahili?
Yeah sure. Nitakupa majibu basiNdyo chumba cha kupanga self, natakaa nianze maandalizi toka now time.
Unajua sitaki mambo ya kushtukiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cna cm ndogo hapa ya ku mark no, nshapitwaaa.Kule wapi?[emoji1787]
Hapa hapa na Saint Anne apate
Basi nasubir mama malezi.Yeah sure. Nitakupa majibu basi
Unanihujumu sana.Kule wapi?[emoji1787]
Hapa hapa na Saint Anne apate
Usiniambie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda sina nyota kwake, had nshasahau mbna.
Aweke hapa tena leo uchukue wee.Unanihujumu sana.
Nikiondoka ndio unaweka ..nishakata tamaa
Ndo nakuambia hivyo sasa, mwenyew ukimuambia hapo ataanza kusema alisahau, ila achana nae.Usiniambie
Njoo ufikie ghetto kwangu,bure kabisa,utalala na Kula bila bughuza Hadi unasepaLocation wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeya nitakuwepo august to october, hivi pale mjini vyumba bei gan?
Hujapitwaaa usiondoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cna cm ndogo hapa ya ku mark no, nshapitwaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niselfike nn sasa?Hujapitwaaa usiondoke
Na uselfike
Mdogo wangu kukuhujumu wewe siweziUnanihujumu sana.
Nikiondoka ndio unaweka ..nishakata tamaa
Mwee lekchara wako ameanza uswahili wakati hafananii nao[emoji134]Ndo nakuambia hivyo sasa, mwenyew ukimuambia hapo ataanza kusema alisahau, ila achana nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuishi na mtu siwezi kwa kweli. Ahsantee kwa ukaribisho.Njoo ufikie ghetto kwangu,bure kabisa,utalala na Kula bila bughuza Hadi unasepaView attachment 2183855
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app