Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaoteseka kufua wenye kucha laini,ila ngumu km zangu hizi wala! Hata nifue jinsi hazikatiki mpk nikate mwenyewe, zote za mikono na miguu!
Ila tu huwa nakuwa nazo za kiasi sio ndefu sana haipendezi kwa mdada
Upo sahihi kabisa, nina soft nails siwezi kufuga kabisa .
kucha ndefu zahitaji mtu uwe msafi pia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…