Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
I know, sir. Mine was just a general statement...highlighting the general accepted standard!BP should be not more than 120/80 but not always tho
BP varies according to age and sex
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Yanii Mideko nimesalute [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] naona juzi alikua 2020 enzi za mlebanon huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2177046
Nawe pia hujaselfika kitambo ujue! Haya hebu nibariki nilale vizuri mie!Tumemiss selfie zako dear.
Nilikuwa nawatag wadau wote tuliokuwepo mwanzo mwanzo kipindi Uzi umepamba moto
Msukuma!! Nakusalimia [emoji113][emoji113] mkuu!!I know, sir. Mine was just a general statement...highlighting the general accepted standard!
Hakuzidi wewe[emoji12][emoji12]!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Anaupiga mwingi
Uzi huu ni wako Boss Lady. Huna hata haja ya kubishana wala kujibizana na mtu hapa. Wewe ukirusha tu picha moja watu wote kimyaaa. Tufanyie wepesi kabla hujalala Boss Lady...Nawe pia hujaselfika kitambo ujue! Haya hebu nibariki nilale vizuri mie!
Nipo Boss Lady. Niko nasubiri hapa utupie ka kitu kabla hujaenda zako kulala...Msukuma!! Nakusalimia [emoji113][emoji113] mkuu!!
NakaziaUzi huu ni wako Boss Lady. Huna hata haja ya kubishana wala kujibizana na mtu hapa. Wewe ukirusha tu picha moja watu wote kimyaaa. Tufanyie wepesi kabla hujalala Boss Lady...
Uzuri mie sinaga makelele wala kujibizana msukuma! unajua sifa za wana sayansi ![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzi huu ni wako Boss Lady. Huna hata haja ya kubishana wala kujibizana na mtu hapa. Wewe ukirusha tu picha moja watu wote kimyaaa. Tufanyie wepesi kabla hujalala Boss Lady...
Nimechanganyikiwa sijui nitaje Nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni Wewe tu kuniambia unahitaji nini trakooo jichooo lips shingo ama general views![emoji12]
WeeeHakuzidi wewe[emoji12][emoji12]!!
Vijana TU walinitibua akili unajua! Hivi Sijui nina ka selfii kapya Mungu wangu [emoji134] Ngoja nicheki cheki gallery hapaNipo Boss Lady. Niko nasubiri hapa utupie ka kitu kabla hujaenda zako kulala...
Ngoja tujadili kwanza na baba mtumishiNawe pia hujaselfika kitambo ujue! Haya hebu nibariki nilale vizuri mie!
hizo ndizo alianza nazo naona Saivi yupo za 2020🤣🤣🤣Weee
Mideko amepita hadi comments za 2019[emoji1787]
Uzuri wako hata za zamani tu zinaufanya uzi utetemeVijana TU walinitibua akili unajua! Hivi Sijui nina ka selfii kapya Mungu wangu [emoji134] Ngoja nicheki cheki gallery hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hizo ndizo alianza nazo naona Saivi yupo za 2020[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣 the choice is yours... Bosi ledi mzungu utakayohitaji natupia tu😜Nimechanganyikiwa sijui nitaje Nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Madam mkemia mkuu pale WHO[emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri mie sinaga makelele wala kujibizana msukuma! unajua sifa za wana sayansi ![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]