Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Eeh na Mimi amegeuka vizuri ndiyo namuona. Sauti zao zilinichanganya.Aisee watu wanayaweza
Huyu ni fetty anaye host leo ?
Nampenda huyu mdada
Haki ya naniShow ya leo inaonyesha matumaini
Usingizi ukija naenda zangu kulala , zamani ndo nilikuwa nakesha kuangalia BET awards ..
Wamevaaje [emoji1787][emoji1787]Nimeona naforce mambo
Najaribu kuangalia wee lakini wapi!
Kalale urefukeNimeona naforce mambo
Najaribu kuangalia wee lakini wapi!
Wa Moro yupi tena Jamani?Yule wa murogoro
Ama pep wa mboga mboga[emoji848]
AahaaYeah
Unaweza ukawa unam admire mtu alivyo .
Ni mrembo , anajielewa and so many more
Ohh yeah zinafanana somehowEeh na Mimi amegeuka vizuri ndiyo namuona. Sauti zao zilinichanganya.
Ngoja tuburudike na old school
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi hizoEeh na Mimi amegeuka vizuri ndiyo namuona. Sauti zao zilinichanganya.
Ngoja tuburudike na old school
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787]Haki ya nani
Hobbies tu hiziHaki ya nani
Saint Anna
OHWa Moro yupi tena Jamani?
Si tulikubaliana atatokea milima ya Uyole
Ndio vitu gani??Hobbies tu hizi
Je unaangalia reality TV shows au fainali za mashindano za miss .
Sijasoma mimi mbonaEnzi hizo
Unasoma Kisutu gero[emoji1787][emoji1787]
Ooh yes rafiki ..Aahaa
Upendo TVHobbies tu hizi
Je unaangalia reality TV shows au fainali za mashindano za miss .
Kwani ni vipi tena jamani?
[emoji1787]Ndio vitu gani??
Tv nikiangalia huwa naangalia taarifa ya habari tu na Upendo Tv[emoji23]
Unataka niwe ngongoti skwea?🙆
Hilo yaiSijasoma mimi mbona