Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Si nilisema sio mimi jamani, guu like nilitolee wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weeeh ma mchungaji ile picha ulitumaga umeshikana na fazapastor una guu zuri tu mbona afu limejaa jaa kidogo!
Tumeona we ni msoftiiiAsante mwayaβ€οΈ, yaani ngozi imeamua kunistiri tu saizi, huku mwilini hainaga tabu sana, usoni sasaaa ni korofi sijapata ona π€£π€£π€£
Umesahau ku attach pichaGod's blessings [emoji120]
Basi walipendeza mnooo wanaendana pia!Si nilisema sio mimi jamani, guu like nilitolee wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu pale juu ndiyo nimeona; mwenzio guu langu refu navaa size 41
Sanaaaaaaaaaaa. π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Basi walipendeza mnooo wanaendana pia!
Hahahah usiisahau na snapchat, maana haikatai mtu ile ijue ππ ... inatustiri usipimie ππTumeona we ni msoftiii
Au unataka kuisingizia aifon π
Yani ngozi ikikusaliti mbona utajikataa!Huwa inatokea tu, me nakwambia ngozi yangu ni korofi usoni lakini, kwa mwaka nakua na aina hata tano za ngozi [emoji23] ila saivi naona imetulia
Yaani kioo ndo kinakua adui yako no moja π, ukijiangalia unaskia hasiraa ....Yani ngozi ikikusaliti mbona utajikataa!
Usiku mwema kipenziπ
hahahaaa...acha kabisa mie sasa nisivowezaga kuangalia kipele usoni yani lazima nijibinyebinye unakuta sura yote imevimba!Yaani kioo ndo kinakua adui yako no moja π, ukijiangalia unaskia hasiraa ....
Baba JNipate beer mbili Fuvu lipooze sasa..View attachment 2170893
Sio mnywaji Ila natamani Hilo shelf niwe nalo home.Nipate beer mbili Fuvu lipooze sasa..View attachment 2170893