Hapo Tu SYB...ukifuata all those you create own harmony hard to be destroyed na yeyote aseeSiri ya kuishi maisha marefu, mbali na mibaraka na huruma za Mungu, ni kuwa na furaha. Unakuwaje na furaha?
- Ishi maisha yako halisi na kamwe usijaribu kujilinganisha na mwingine kwa sababu kila mtu amebarikiwa kivyake. Daima kutakuwa na watu wanaokuzidi na unaowazidi.
- Shukuru kwa ulichonacho hata kama ni kidogo namna gani...na ishi katika matumaini.
- Stay connected to the source - Mungu or whatever you believe in. Hapo ndipo nguvu zako zilipo. Ukijitenga na nguvu hizo umekwisha.
- Usiwe na roho ya kichawi. Furahia mafanikio ya wengine. Ukiona vijana wadogo tu wanasukuma ma Jaguar na ma RR na wewe huna, usikabwe na wivu bali furahia mafanikio yao. Katika furaha hiyo ndimo kuna furaha yako pia.
- Usipende kuumiza watu wengine (kimwili na kisaikolojia) bila sababu lakini pia usikubali kuumizwa bila sababu.
- Saidia wengine - hata kama ni kwa maneno tu ya kutia moyo au kujitolea nguvu na muda wako. Hakuna kitu kinacholeta furaha ya kweli kama kuweka tabasamu na tumaini katika moyo uliopondeka na uso uliojaa huzuni. Nenda mahospitalini huko. Ongea na wagonjwa usiowajua. Wape matumaini. Kwenye ma-orphanages huko...na magerezani...
- Be simple and humble...na jaribu sana kuwa msuluhishi na siyo mtenganishaji. Jitahidi uwe ndiyo nta inayoileta pamoja familia yenu na siyo kuisambaratisha...
- Linda afya yako. Daima kinga ni bora kuliko tiba. Magonjwa yanayozuilika kwa kubadili mfumo wako wa maisha, hakikisha hayakupati
- Take care your family. Love them dearly because when it is all said and done; and you are laying down on your deathbed - ready to take your final breath, it is your family that will be there....
#BusarazaWahenga
Bora uendelee na kazi yake ya kusukuma damuπ€£π€£π€£Mkuu hapo unabidi moyo wako usukume damu π
π π tunaonja kidogo tuYan kwamba tunamdokolea? π€£π€£
Sema babu huyu sio mkaksi, atatuelewa.
π€£π€£π€£π€£I
Inakuwa na sehemu fulani special for keeping it...achana na kipya kinyemi Lizzy
Mie sijakukumbuka ungepotelea tu huko huko ulipokuwepo ππππAisee boss ledi naona nafsi yangu iliitikia wito wako. Maana nimepost ndiyo nakuja kuangalia notifications, nakuta umeniita. I missed you too dears; nipo sasa.
Kumbe na wewe mjumbe ππSikukaangi mjomba,hebu tusafishe macho kidogo...
Kumbe na wewe mjumbe [emoji23][emoji23]
Hivi watu tunashea kitanda tunaagana kwa Kiss na kumbatio π[mention]Nuzulati [/mention]nasikia hujamuaga mume sasa mbona unataka kutukosesha pilau tena? Hii tabia umeanza lini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie sijakukumbuka ungepotelea tu huko huko ulipokuwepo [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
kwendraaa zakoooo.. wacheka niniii πππππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi watu tunashea kitanda tunaagana kwa Kiss na kumbatio [emoji7]
Kwamba huwezi kunimisskwendraaa zakoooo.. wacheka niniii πππππππ
Ni kumiss ili nigundue nini ππππ.. kwendraaa zakoKwamba huwezi kunimiss
Shangazi shangazi umenisahahu uncle uncle.. ππBasi sawa..[emoji2]
π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄Ni kumiss ili nigundue nini ππππ.. kwendraaa zako
hahahaha.Sio kwa mvua hii[emoji1787]
Uone pua ili ugundue niniπ¬Ewaaa mpemba wetu,hebu punguza emoji tuone hata pua jamani[emoji2]
Pua ni direct proportion na sauti ya mtu.. na sauti ya mtu ina reflects tabia zake upo hapo ππUone pua ili ugundue niniπ¬
Aisee ko pua pana ielezee hii mpya kwanguπ¬Pua ni direct proportion na sauti ya mtu.. na sauti ya mtu ina reflects tabia zake upo hapo ππ