Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuombe uzima bageshi. Niliona watoto wa dada wakifanyiwa hiyo procedure (ni ya kukanda tu na mikono)...Madogo wako vizuri sana mpaka leo na bahati mbaya wengine mpaka imewawia vigumu kutulia na mwanamke mmoja
Shida ndio inakuja hapo akikua lazima aje kusumbuliwa na mabint na ye akishanogewa hahahaa ataona maisha si ndio haya😂
Wee nani hapendi raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…