Huendagi hata siasani we bidada?Huyo ni mpishi maarufu wa matokeo tz
Amefunga pm mkuuUsisahau kuleta mrejesho
Huyo wa kuitwa Fursakibao, halafu nilikutag uje unitetee naona hukuona.
Hahahaha umewaza mbali sana....aiseeee
Huwa unasali/swali?
Muone kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daahhh kweli Sakayo kua uyaone
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]endiwo, maana naona ile picha kidogo imeonesha viungo vya pilau.
this kidevu I swear ❤️❤️❤️❤️Ndiyo niko kufumua nywele saa hiiView attachment 1248962
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daahhh kweli Sakayo kua uyaone
Kwanini?Hapana..
😍😍😍😍🙊🙊🙊🚶🏽♂️🚶🏽♂️🚶🏽♂️🚶🏽♂️
Sema ukweli bana...Ninyi si ndiyo wagumu kutuma humu na mkituma mnazifuta kabla sijaziona?? Wengine niliwaomba wakanitumia!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka list ya poison zako na wewe..usijeniambia tu mirinda nyeusi au spar letta
Weka list ya poison zako na wewe..usijeniambia tu mirinda nyeusi au spar letta
Haya[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]ameshaniona dada
Magia ya anganii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uyaone manini hayo jamani??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuaminiani siku hizi?[emoji1787]