Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa jinsi ulivyo mayai, boksi huliwezi mjukuu. Wewe soma mambo ya afya au hasa hasa mambo ya kompyuta na uyajue vizuri ukija huku unajipiga tu msasa na kozi fupi ya miezi mitatu unaingia mzigoni. Mshahara wa kuanzia $100K/yr + bonuses etc.
Mie fursa za kuja huko ni nyingi mnoo, sema connection bado tyuuh.


Ahsante kwa muongozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…