Hahahaha usinichekeshe mieWee...
Hapa nitakaza sauti.
Usituongopee, paja lako nalifahamu. [emoji848][emoji848] ivi nalifahamu kweli au ni ile picha tuu [emoji3]
Hiki kitu kimenipitaWeuweeeeeeeeh mtoto umbo km umbo, shape km shape.
Wee ni mkareeeeeh. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
hahahahaWee...
Hapa nitakaza sauti.
Usituongopee, paja lako nalifahamu. [emoji848][emoji848] ivi nalifahamu kweli au ni ile picha tuu [emoji3]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059]Sitojaribu kuumiza moyo wako hata kidogo my ex[emoji3059]
Emerald green ..Ostadhat
[emoji8][emoji8][emoji8]
Nilivyokobeka hapo km gunia vile lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2160276
Mbna mzuri huu. Hongera sana.
changamka bana maisha ndio hayahaya mjeda!😜hahahaha.acha nipoe rafiki.nipo bien.naperuzi selfie na kudadisi post
🙏Mbna mzuri huu. Hongera sana.
Mmhh yani umekumbuka siku ile [emoji28]hahahaha
Welcome back my lov😘[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059]
Mkuu unanicheka mzee mwenzio hahaahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipenziiiih jomoneeehEmerald green ..
Mdada wa photoshoot
Looking gorgeous .
Ngoja nijitahidi kuto kuwazaPicha ya kawaida mno usiwaze
Aah OK!Huwa napitaa nikiwa naenda home, [emoji7][emoji7]
Una damu ya nguo pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipenziiiih jomoneeeh
Naipenda hiyo rangi mnooooh. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]