Hapana boss lady, nimeshaanza kufatilia kibali cha Mazingira Kwa Mhe. Jaffo lakini pia Ewura nitaenda kesho, kama utanipa walau milioni 10 hivi ningeweka mazingira ili week ijayo vibali vyote viwe tayari.
Fanya kunitumia hicho kiasi boss, alafu mahali nimepata site ya kujenga ni nzuri sana, niliwakuta akina Oilcom na Total fuel β½ wakigombania Ile site, ni wewe tu umepata kwaajili yangu π