Kheeeeh mama malezi, leo kwan? Nshasahau km mie n mwanafunzi eti. Kitamboooooooh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmmh hivi mmemaliza mitihani?
Haha watu wengi walikuwa wananiambia lile limekaa kikauzu daah [emoji38][emoji38]Halikuwa baya, ila hili ni zuri zaidi
Mfundishe bhana, sasa shingo hiyo ya bites kabisaa, anakwama wapiiii? Awwwww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Awwwh thank you dearest
Sijawahi pewa love bite mimi [emoji28][emoji28] .
👌
😀😀😀😀😀😀 fitina hizoHebu wapumulishe hapa nione..
Weka hizo fitina mkuu..😂😀😀😀😀😀😀 fitina hizo
Nimekuambia nataka upaja, hizo dimplez na macho, ntakuja kuchukua soon, upaja mtoto upaja, afu una vinyweleo vya kuamsha vilivyolala hata km vimetoka kufanya kazi mda huo huo, vukiguswa tyuuh imo ile ile dedeeeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chozi linanidondoka kwa mambo mnayonisakamia nayo [emoji1787][emoji1787] Nuzulati T 1990 ELY View attachment 2147822
Mwambie tu ukweli kuwa lilikuwa baya[emoji17]Halikuwa baya, ila hili ni zuri zaidi
Lilikuwa linatukumbusha juu ya mienendo yetu; tusijisahau KARMA ipoHaha watu wengi walikuwa wananiambia lile limekaa kikauzu daah [emoji38][emoji38]
Kwani umeamkia wapi na wewe?Mwambie tu ukweli kuwa lilikuwa baya[emoji17]
Hapa hapa mkurugenzi [emoji23]Kwani umeamkia wapi na wewe?
Bado Ile nyingine uliyofuta
Koma weee. Msubiri Mkurugenzi mwenzio atoke usingizini. Mimi Bado natafuta ajira🤣🤣🤣🤣Hapa hapa mkurugenzi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Koma weee. Msubiri Mkurugenzi mwenzio atoke usingizini. Mimi Bado natafuta ajira[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa lile ndo zuri kuliko hili, mie sijalipenda hata, bora arudishe ZOÈ,Mwambie tu ukweli kuwa lilikuwa baya[emoji17]
😍😍😍hebu niazime dimpozi nami nikupe mwanya
Ushapata sehemu ya kufanyia research?Nimekuambia nataka upaja, hizo dimplez na macho, ntakuja kuchukua soon, upaja mtoto upaja, afu una vinyweleo vya kuamsha vilivyolala hata km vimetoka kufanya kazi mda huo huo, vukiguswa tyuuh imo ile ile dedeeeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mfyuuuuu. Mnamchanganya Mungu anaacha kuwapa promotion anajua ameshawapromote; kumbe kuitana tu majina mazito mazito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa chief