Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Akili zakoWeuweeeeeeeh mama maleziiii uko bombaaa mno, portable, yaan baba malezi ashindwe yeye tyuuh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
App inazingua kwangu yaan lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati mbaya
Ila kesho nayo ni siku nitakutag
Yaani nkamu ningeikosa hii ningekosa usingiziEeeeeeh nkamu
Zimefanyaje mama malezii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili zako
hapo naonekana nina maadabu?Mwanamuke yenye heshima zake!![emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Tumia blowserApp inazingua kwangu yaan lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kisa nkamu?Yaani nkamu ningeikosa hii ningekosa usingizi
Wee weka yako kwan, wallah natupia hapa mie full na naacha week nzima humu. Fanya hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo sipati kitu? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Huo ndio uhalisia ma mchungaji!!
Huko ndo kabisaa mafelecheeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumia blowser
Ameeeen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ndio uhalisia ma mchungaji!!
Haya bana. Isiwe kesi ila siyo poa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Wee weka yako kwan, wallah natupia hapa mie full na naacha week nzima humu. Fanya hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi huyooo.Mwanamuke yenye heshima zake!![emoji3577][emoji3577][emoji3577]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeshindwa wee mwenyewe.Haya bana. Isiwe kesi ila siyo poa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Maumivu ya kuikosa picha ya mama mchungaji hayaelezekiii, muukize Shimba Ya Buyenze au Saint AnneKisa nkamu?
Maumivu ya Leo yanamuhusu Saint AnneMaumivu ya kuikosa picha ya mama mchungaji hayaelezekiii, muukize Shimba Ya Buyenze au Saint Anne
Uwe na wakati mwema MtumishiGoodnight wanaselfika. Kumuona tu Mama Mchungaji kunatosha aisee. cocastic ulichonifanyia siyo poa ila sawa tu. Boss Lady ubarikiwe sana!
Be blessed [emoji1545]
Ameeeeen babuuuh Dr, siku ingine utaona. Sleep well.Goodnight wanaselfika. Kumuona tu Mama Mchungaji kunatosha aisee. cocastic ulichonifanyia siyo poa ila sawa tu. Boss Lady ubarikiwe sana!
Be blessed [emoji1545]