ππππ jirani sie yetu amani... furaha kwetu ni pumzi, ucheshi ni dawa.. upendo ni maisha yetu... πππ.. mwiko kumkwaza mtu πΆπΆπΆπΆ
Nikienda mashariki ya kati nitakuletea karanga mwitu a.k.a Karanga za Israel... yaaani moto wakeeee.... ππππ.. zinapdisha joto la nyamaaa paka basi.. huwezi kinai mlo.. utakula na utakula tena na ukizila utakula na kula tenaaa.. Jirani by πββοΈπββοΈ