NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
[emoji3][emoji3][emoji3] Uta master tu kaka, mie nimeanza toka 2016 haijawa kazi rahisi hadi leo hii kama degree tayari ni medical doctor [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na bado naendelea kusoma na kujifunza kila siku
Safi sana mkuu. Keep digging. [emoji41]