King of the pride ( mkubwa na strong)
Chura mwenye sauti kubwa
Kipepeo mwenye lines nzuri
Nyati mkubwa ( strong)
Nyani mbabe ( big and strong)
Fire fly atakayekuwa na precise illumination
Lobster mwenye territory kubwa
Human being mwenye sifa moja au zaidi ya zifuatazo ( pesa, mjanja, akili, mali, body lenye symmetry nzuri aka bodybuilder and taller)
Organism hawa wote na sifa hizo wana 99% chance of getting females wanaowataka for sex