Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen!
Its normal for couples to break up and get back together, she still loves me...

Am moving on..
Vizuri sana kupeana break kidogo kwenye mahusiano maana inakupa muda kutatakari kujua shida iko wapi au ikawapa nafasi ya kuzidisha upendo maradufu .
Nawatakia kila la kheri katika safari yenu .
 
Vizuri sana kupeana break kidogo kwenye mahusiano maana inakupa muda kutatakari kujua shida iko wapi au ikawapa nafasi ya kuzidisha upendo maradufu .
Nawatakia kila la kheri katika safari yenu .
Thanks!
Sijui ni break hii, i dont know lakini kiukweli alinifumania, daah, alinipiga na chupa kwenye paji la uso, we acha tu... najuta sana...
Mi mwenyewe sijielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…